Magaidi waliotoroka gerezani Kenya wakamatwa

Wafungwa 3 wanaohusishwa na visa vya ugaidi ambao walitoroka jela ya Kamiti nchini Kenya siku ya Jumatatu wamekamatwa. Musharaf Abdalla maarufu Alex Shikanda , Joseph Ouma na Mohammed Ali Abikar walikamatwa katika eneo la Kitui kusini mwa Kenya. Watatu hao waliibua taharuki nchini Kenya walipotoroka kutoka jela yenye ulinzi mkali zaidi baada kutoboa ukuta wa